Ninunue gari ipi kati ya Vanguard au Harrier/Lexus

Ninunue gari ipi kati ya Vanguard au Harrier/Lexus

rangerovertik

New Member
Joined
Sep 23, 2020
Posts
1
Reaction score
0
Heshima kwenu wakuu!

Mimi ni mpenzi wa magari tajwa hapo juu, yaani Vanguard na Harrier.

Ninategemea kununua gari karibuni ila nimeshindwa kabisa kuamua ninunue lipi kati ya Vanguard au Harrier.

Ninaomba uzoefu wenu; ungeshauri lipi kati ya hayo mawili na kwa nini unashauri hivyo?

Asante sana!
 
Heshima kwenu wakuu!

Mimi ni mpenzi wa magari tajwa hapo juu, yaani Vanguard na Harrier...

Kama ni mtu wa safari na unapenda mbio chukua vanguard coz ipo very stable kuliko harrier ila kama unapenda luxury chukua harrier coz harrier ndani iko very confitable kuliko vanguard kwa upande wa engine naona kama zinafanana
 
Lexus kwakweli inamvuto sana,alafu imetulia.
Ila gari zote hizi ziko poa tu.kikubwa ni matunzo jipime wewe kwenye moyowako unavutiwa zaidi na ipi ili ufanye maamuzi.
 
Back
Top Bottom