rangerovertik
New Member
- Sep 23, 2020
- 1
- 0
Ulishavuta tembelea matako mzee.Heshima kwenu wakuu!
Mimi ni mpenzi wa magari tajwa hapo juu, yaani Vanguard na Harrier..
Heshima kwenu wakuu!
Mimi ni mpenzi wa magari tajwa hapo juu, yaani Vanguard na Harrier...
Kama Vanguard wameshabadili wakaleta zenye spare Tyre chukua hiyoBro hayo magari yashajadiliwa sana humu usiwe mvivu pitia hili jukwaa utapata majibu sahihi kwa hitaji la gari lako.
Fahamu zaidi kuhusu Vanguard na Rav 4 model ya 2009- 2014
Kwa upande wangu nakushauri go for Vanguard, ni nzito, stable, comfortable, durable, sexy.