Mwalimu Truth
Member
- Feb 15, 2015
- 57
- 71
Sasa mzee baba mtu Ana 5m dualis wap na wap,,una umri gani mkuu? kama upo above 30+ tafuta NISSAN-DUALIS ili uweze kupata heshimu mtaani na kazini, mimi kuna ela naisikilizia ikiingia tu nataka kuvuta chuma aina iyo ya DUALIS
Tatizo Bajeti Mkuu.una umri gani mkuu? kama upo above 30+ tafuta NISSAN-DUALIS ili uweze kupata heshimu mtaani na kazini, mimi kuna ela naisikilizia ikiingia tu nataka kuvuta chuma aina iyo ya DUALIS
Ahsante kwa ushauri lakini hujaniambia kwanini nikichukua Vitz itapendeza zaidi na sio Passo!Sasa mzee baba mtu Ana 5m dualis wap na wap,,
Mtoa mada nakushauri vits old model ilionyooka ninzuri
Ohoo sawa.Changamoto nyingi kama zipi?Kukucheki sawa,hiyo vitz ni yako mwenyewe?Naogopa kufanyiwa Udalali maana Dalali wanongeza cha juu sana mpaka One M.Kama utaniunganisha na mwenye gari nikakupatia kiasi fulani cha Pesa kwa connection hiyo basi utakuwa umetisha sana.Nicheck upate Vitz kali, achana na Passo zinachangamoto nyingi sana
Nichek PM mkuu kwa maelezo zaid inshort ndio kazi zangu hizoOhoo sawa.Changamoto nyingi kama zipi?Kukucheki sawa,hiyo vitz ni yako mwenyewe?Naogopa kufanyiwa Udalali maana Dalali wanongeza cha juu sana mpaka One M.Kama utaniunganisha na mwenye gari nikakupatia kiasi fulani cha Pesa kwa connection hiyo basi utakuwa umetisha sana.
Naomba ushauri wana Jf,hasa mnaomiliki gari aina ya Vitz pamoja na Passo.Madereva wazoefu pia wa magari mnaweza kunisaidia kunipatia ushauri.Nina 5M,je ninunue gari gani (second hand) Kati ya hizi mbili Passo au Vitz old Model?Ninahitaji gari la kupigia misele ya town kwenda kazini nk,lengo langu ni kununua kutoka kwa mmiliki wa Gari husika na sio Dalali.
Dualis inatamanisha sana.. siku nikibadili gari naifikiria hiyo.una umri gani mkuu? kama upo above 30+ tafuta NISSAN-DUALIS ili uweze kupata heshimu mtaani na kazini, mimi kuna ela naisikilizia ikiingia tu nataka kuvuta chuma aina iyo ya DUALIS
Imekaa kijanja sana.Tutafute pesa mkuu,ipo siku itaendeshwa tu.
Nikushauri ,Naomba ushauri wana Jf,
Hasa mnaomiliki gari aina ya Vitz pamoja na Passo. Madereva wazoefu pia wa magari mnaweza kunisaidia kunipatia ushauri. Nina 5M, je ninunue gari gani (second hand) Kati ya hizi mbili Passo au Vitz old Model?
Ninahitaji gari la kupigia misele ya town kwenda kazini nk,lengo langu ni kununua kutoka kwa mmiliki wa Gari husika na sio Dalali.
Ahsante kwa ushauri wako mr Miraba Minne.Achana na Paso piston tatu, siyo mbaya ila wengi hawaiwezi matunzo, hawaipi inachotaka.
Unaweza kununua Passo ya Piston 4. Kwa hiyo hela yako unatapata Passo nzuri tu. Na haitakusumbua.
Vitz nyingi Bongo zinakuja na engine ya 1sz ambapo hiyo engine imefungwa kwenye Vitz tu na haijafungwa kwenye gari nyingine.
Sasa siku ukikaanga hiyo engine andaa 2m ndio gari itarudi tena road. Sielewi kwanini Bei iko juu wakati hivi vigari vipo vingi road.
Kama unataka Vitz Old go for Vitz RS ambayo inakuja na engine ya 1nz.
Bajeti ndiyo tatizo.Nikushauri ,
Achana na passo, mara mia moja juu ya vitz
Lakini, kwanini usiagize?
Hilo sio tatizo tena nakuhakikishia!Bajeti ndiyo tatizo.
Ahsanteni.Hilo sio tatizo tena nakuhakikishia!
Chagua EAPGS!
EAPGS ni nani?
Sisi ni waagizaji wa magari, kutoka japan, uingereza, Thailand na South Africa.
Na kwa asilimia kubwa sana, wateja wetu wengi thnawaagizia kutoka kamouni kongwe na bora kabisa ya uuzaji na usafirishaji wa magari
, BE FORWARD JAPAN.
Car4Sale - Karibu uagize kutoka Be forward!
Ziko nyingi Sana Kama IST mkuu. Tatizo unafanya mockery ila unadhani kuwa wote tupo sawa. Shauri yako boss.www.jamiiforums.com
Kwanini Uagize na EAPGS ?
Uharaka na uaminifu wa hali ya juu sana, zaidi sana tunakuwezesha kukupatia mkopo wa manunuzi ya gari lako ( Tunalipia gharama za ushuru ) kisha wewe mteja utaturejeshea kila mwezi kwa muda wa miezi 12, gari lako ukiwa nalo mwenyewe.
muhimu tu, uweze ku-afford gharama za manunuzi na usafirishaji wa gari lako hadi hapa bandarini.
Huna sababu tena ya kupata stress
kazi ni kwako,
EAPGS
MAFIATI AREA
MBEYA TANZANIA
+255 682 274 097
Sasa si ununue wewe, unawapangiaje wenzio?una umri gani mkuu? kama upo above 30+ tafuta NISSAN-DUALIS ili uweze kupata heshimu mtaani na kazini, mimi kuna ela naisikilizia ikiingia tu nataka kuvuta chuma aina iyo ya DUALIS
Hii imekaa poa sanaHilo sio tatizo tena nakuhakikishia!
Chagua EAPGS!
EAPGS ni nani?
Sisi ni waagizaji wa magari, kutoka japan, uingereza, Thailand na South Africa.
Na kwa asilimia kubwa sana, wateja wetu wengi thnawaagizia kutoka kamouni kongwe na bora kabisa ya uuzaji na usafirishaji wa magari
, BE FORWARD JAPAN.
Car4Sale - Karibu uagize kutoka Be forward!
Ziko nyingi Sana Kama IST mkuu. Tatizo unafanya mockery ila unadhani kuwa wote tupo sawa. Shauri yako boss.www.jamiiforums.com
Kwanini Uagize na EAPGS ?
Uharaka na uaminifu wa hali ya juu sana, zaidi sana tunakuwezesha kukupatia mkopo wa manunuzi ya gari lako ( Tunalipia gharama za ushuru ) kisha wewe mteja utaturejeshea kila mwezi kwa muda wa miezi 12, gari lako ukiwa nalo mwenyewe.
muhimu tu, uweze ku-afford gharama za manunuzi na usafirishaji wa gari lako hadi hapa bandarini.
Huna sababu tena ya kupata stress
kazi ni kwako,
EAPGS
MAFIATI AREA
MBEYA TANZANIA
+255 682 274 097