Ninunue kiwanja sehemu gani ndani ya Dar?

TEAM 666

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2017
Posts
4,399
Reaction score
8,594
Habari wakuu ñina mpango wa kununua kiwanja Dar ukubwa wa sqm 800 katika maeneo kati ya mbezi, kigamboni chanika chamazi bajeti yangu million 10 au kibaha

Sehemu gani itakua nzuriii ambayo haitakua kushoto kwa muelekeo wa Tanga
 
Nenda Kigamboni utapata eneo zuri kwa hiyo hela japo si njia ya Tanga.

Sent from my SM-S908B using JamiiForums mobile app
 
Habari wakuu ñina mpango wa kununua kiwanja Dar ukubwa wa sqm 800 katika maeneo kati ya mbezi, kigamboni chanika chamazi bajeti yangu million 10 au kibaha

Sehemu gani itakua nzuriii ambayo haitakua kushoto kwa muelekeo wa Tanga
Mkuu kwa hiyo bajet unapata kiwanja kzuri maeneo ya kimara temboni,mbezi makabe,Mpiji magoe na bunju

Cha msingi tuliza sana akili afu hakikisha kiwanja utakachokinunua ni

Surveyed plot (kimepimwa)
Hakikisha kipo katika ramani ya mipango mji
swala la hati miliki kutoka wizarani ni muhimu sana
Ikipendeza usinunue kwa mtu binafsi jaribu kucheki registered real estate companies

10m ni pesa nzuri sana kama ukitulia utapata sehemu nzuri sana
 
Vigogo wengi wa chama na serikali kwa sasa wananunua maeneo ya Chanika. Fuata mkondo...
Heee hii mpya 😂

Alaf Madale, Goba na Salasala wanaishi kina nani? Kwanza difference ya bei za viwanja ni kubwa sana yani ni more than two times. Yani liwanja cha mil 4 Chanika basi Goba utakipata kwa 10m kaa ukubwa ule ule
 
Ml 10 apate surveyed plot makabe nzuri temboni, bunju? ya SQM 800 I doubt labda ampate mtu ana shida sanaaaa na kusiwe na dalali kabisaaa na obvious kitakuwa ndanindani sana kwa hela hiyo na ukubwa anaoutaka labda mpiji magoe ndani ndani. Makabe soon lami inakamilika viwanja bei vimepanda sana. Naandika based on experience. SQM 800 ni viwanja viwili vya 20x20 so ina maana ni sawa na kusema 20x20 moja ni ML 5 ambapo kwa makabe ya sasa ukiona kiwanja cha bei hiyo kuwa makini sana usije kulizwa
 
Heee hii mpya 😂

Alaf Madale, Goba na Salasala wanaishi kina nani? Kwanza difference ya bei za viwanja ni kubwa sana yani ni more than two times. Yani liwanja cha mil 4 Chanika basi Goba utakipata kwa 10m kaa ukubwa ule ule
Watu wengi wenye kipato cha kati kwenda juu huwa wanatafuta viwanja maeneo hayo uliyotaja automatically hii inapelekea uhitaji kuwa juu sana na hivyo bei inapanda sanaaa. Chanika toka zamani haikupewa hadhi na watu walio wengi the same mbagala ndo maana mpaka leo bei zake zipo chini kulinganisha na mbezi. Zamani ilikuwa nadra kukuta mwenye hela zake anatafuta viwanja chanika mbagala lakini utamkuta anatafuta mbezi ya kimara au beach. So automatically ikawa wenye vijisenti vyao wanajitenga hivi na kuisolate chanika/mbagala kingine chanika from city centre ni mbali.
 
Mdanganye mwenzio wakampige yaan upate sgm 800 kwa 10m? Maeneo kimara mbezi makabe...labda ungshauri aende kibaha labda
 
Njia ya tanga hawezi kupata kilichopimwa na hati kabisa kwa bei hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…