Ninunue lori ya kichina 0 KM au Scania used from Saab Scania

Kwani nikienda na Dollar cash inakuaje?
Dollar kwa southafrica haina nguvu utapata hasara maana kwanza hawapokei heka zaidi ya rand na ukienda kuchange wanakata hadi kodi , kwamfano badala ya usd 1 upate 2550 utapata kama 1800 nilijaribu ilikula kwangu
 
Mnyukano wa michango ni mkali sana. Sijui mwisho wa siku utaamuaje ?

Na bado hajatokea mjinga achangie kwa kukuambia chukua Vitz new model! Lazima uchanganyikiwe.
 
Ndugu ulinunua lorry aina ipi?
 
Pia life span yake ni 5years haina engine rebuild kit (overhaul)

Kwani lazima vipuri vya overhaul ununue pamoja kwenye "kit" ?
Duka la HOWO ukisema nataka piston rings hawana ? Au head gasket hawana ?
 
Kwani lazima vipuri vya overhaul ununue pamoja kwenye "kit" ?
Duka la HOWO ukisema nataka piston rings hawana ? Au head gasket hawana ?
Hakuna kitu kama hicho ikifa option ni kununua injini mpya
 
Hakuna kitu kama hicho ikifa option ni kununua injini mpya
hebu twende taratibu bro....

Lori au basi la kichina halina kipuri cha ndani ya engine kinachouzwa ???

Yani HOWO na FAW ikichemsha ikahitaji head gasket inabidi utupe engine kwa sababu ya gasket moja ????
 
Fatilia utakuja kunipa jibu.
 
Kwakua unaanza ni bora kufanya risk diversity usichukue zote scania Au zote Mchina.Changanya chukua 2 china the rest scania Au viceversa.Hii itasaidia kukupa experience tena sio ya kuambwiwa Bali kushuhudia Mwenyewe.
 
Mkuu piga mixer
 
Bakhresa amekabidhiwa malori kibao ya kichina. Kama yeye mwenye uzoefu wa miaka mingi kwenye sekta ya malori amejilipua kwa mchina hata wewe jaribu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…