Pastor Achachanda
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 3,023
- 1,315
Habari zenu wanajamii?Mimi ni mchungaji ambaye nahitaji kujikwamua na ugumu huu wa maisha. Nina wazo la kutafuta tsh milioni 2 na hapa nina taslim tsh laki 2. Naendelea kutafuta zingine. Nimewaza kununua pikipiki ili izunguke lakini nitampa kijana azungushe nipate muda wa kuhudumia watu kiroho. Nina wazo na pikipiki aina 3 ila wadau mnisaidie ipi ni imara, ulaji mzuri wa mafuta, itakayodumu miaka mingi kati ya: SAN LG, TOYO/LIFAN, na T BETTER.
Na kama kuna mtu anaguswa na Roho wa Mungu/mwenye moyo wa kupenda kunichangia namkaribisha.
Na kama kuna mtu anaguswa na Roho wa Mungu/mwenye moyo wa kupenda kunichangia namkaribisha.