Pastor Achachanda
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 3,023
- 1,315
Chukua Boxer ni nzuri sana zinakaa muda mrefu
Chukua sanlg au toyo! ila kiboko ya wote hapo kwa uimala na kudumu hata tembo mzima unaweza kumbeba na chassis isivunjike ni toyo. Pikipiki za toyo hazina utofauti wa spareparts na sanlg kasoro jina tu.
But trust me mchungaji toyo nikiboko.
sasa hv wamebuni njia mpya ya kuondoka nazo hizo boxer mnazisifia.
Habari zenu wanajamii?Mimi ni mchungaji ambaye nahitaji kujikwamua na ugumu huu wa maisha. Nina wazo la kutafuta tsh milioni 2 na hapa nina taslim tsh laki 2. Naendelea kutafuta zingine. Nimewaza kununua pikipiki ili izunguke lakini nitampa kijana azungushe nipate muda wa kuhudumia watu kiroho. Nina wazo na pikipiki aina 3 ila wadau mnisaidie ipi ni imara, ulaji mzuri wa mafuta, itakayodumu miaka mingi kati ya: SAN LG, TOYO/LIFAN, na T BETTER.
Na kama kuna mtu anaguswa na Roho wa Mungu/mwenye moyo wa kupenda kunichangia namkaribisha.
mtumishi,fikiria kitu kingine cha kufanya na hiyo mil 2 yako kuliko kununua bodaboda.otherwise kama unataka kufanya biashara hiyo ni bora uendeshe mwenyewe.nimefanya hiyo biashara kwa muda wa mwaka mmoja na nilikuwa nazo 4.nikipata muda nitakupa mchanganui
Mpendwa bei zao naona kubwa na je zinamudu mizigo na zinapiga sana kazi?
Aisee kumbe wachungaji wengine ni maskini kwa jinsi hii! Waangalie wenzako kina Rwakatare, kakobe, Rusekero nk unadhani ni maskini kama wewe?Unajidanganya hamuna mtu humu atakayekuchangia hata shilingi kumi. Kwanza hawakujui, pia sio mchungaji wao mtu aanze tu. Waige wachungaji wenzako mbona matajiri sana?Pole. Wenzako wanawaza magari we unataja pikipiki. Mh
Kama utaiendesha wewe ukiwa unaifanyia biashara powa other wise biashara hii imekwisha kuwa kichaa. Mimi ninazo sita natafuta utaratibu wa kuziuza.
Chukua sanlg au toyo! ila kiboko ya wote hapo kwa uimala na kudumu hata tembo mzima unaweza kumbeba na chassis isivunjike ni toyo. Pikipiki za toyo hazina utofauti wa spareparts na sanlg kasoro jina tu.
But trust me mchungaji toyo nikiboko.