Ninunue Tecno Spark 20 Pro Plus au bado nitaonekana mshamba?

Nyamwage

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2020
Posts
712
Reaction score
1,748
Habari,

Kilicho nivutia humu ni umbo lake tu yaani ni slim bezel hata galaxy S10 plus bezel zake ni nene na bei yake pia ni 580,000 nimekuja humu mapema kabla sijajilipua na kama kuna chaguo lingine kali unaweza ukashare na mimi
 
Screenshot_20240702-233915_1.jpg

Hakuna Uhalisia acha kupoteza hela
 
Habari,

Kilicho nivutia humu ni umbo lake tu yaani ni slim bezel hata galaxy S10 plus bezel zake ni nene na bei yake pia ni 580,000 nimekuja humu mapema kabla sijajilipua na kama kuna chaguo lingine kali unaweza ukashare na mimi
Tecno! Kama hujaoa na bado unatafuta mchumba sikushauri ununua tecno! Utakataliwa!
 
Nenda kanunue simu acha kupoteza muda na maplastiki yasiyokuwa na maana.
 
Habari,

Kilicho nivutia humu ni umbo lake tu yaani ni slim bezel hata galaxy S10 plus bezel zake ni nene na bei yake pia ni 580,000 nimekuja humu mapema kabla sijajilipua na kama kuna chaguo lingine kali unaweza ukashare na mimi
Acha kuchezea pesa
 
Ila ujue ukiwa nje ya nchi hazisomi
Kama wewe ni WA hapa hapa chukua
 
Back
Top Bottom