Ninunue TV gani kati ya TCL na Blackstone?

Ninunue TV gani kati ya TCL na Blackstone?

Trust None

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2018
Posts
1,260
Reaction score
4,419
Nimekuwa nikifuatilia ubora wa TV za mkulima ila nimebaini TCL na Blackstone naona kama zipo juu, sasa hapa nimeshindwa kufanya uamzi nichukue ipi?

Naomba ushauri wenu, nichukue ipi na bei kwa size 24 na 32 ni ipi?
 
TCL the best
 
Kwa uzoefu wa workshop chukua TCL ipo vizuri kuliko hiyo ambayo inatumia common chip na firmware za kichina. Kuhusu mistari (fault za T-con) lipo kote na ndiyo tatizo kubwa la flat TV haswa za brand kubwa hata kama imetengenezwa Korea.
 
Vip bei yake kwa inch 24?
Natumia TCL Mwaka wa SITA sasa na haina tatizo lolote.ukiiangalia ni kama mpya unaweza kuhisi haina hata miezi sita.
Nimehama nayo nyumba tano pamoja na kusafiri nayo mkoa na kurejea.
 
Back
Top Bottom