Trust None
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 1,260
- 4,419
HII NI KAMA SAMSUNG S6 EDGETCL sio mbaya.
Kama muda gani?HII NI KAMA SAMSUNG S6 EDGE
Lazima ziweke mistari baada ya muda flani
matter of time mkuuKama muda gani?
Hili sio la TCL tu bali hata brands zingine inatokea tu,..hata zile za CRT.matter of time mkuu
Duuh! hadi Samsung zinaweka mistari??HII NI KAMA SAMSUNG S6 EDGE
Lazima ziweke mistari baada ya muda flani
TCL the bestNimekuwa nikifuatilia ubora wa TV za mkulima ila nimebaini TCL na Blackstone naona kama zipo juu, sasa hapa nimeshindwa kufanya uamzi nichukue ipi?
Naomba ushauri wenu, nichukue ipi na bei kwa size 24 na 32 ni ipi?
Simu ya Samsung S6 edgeDuuh! hadi Samsung zinaweka mistari??
chukua TCL utojutia ukichana na kampuni hizo za piGwhite TCL ni next
Natumia TCL Mwaka wa SITA sasa na haina tatizo lolote.ukiiangalia ni kama mpya unaweza kuhisi haina hata miezi sita.
Nimehama nayo nyumba tano pamoja na kusafiri nayo mkoa na kurejea.
Mim nahitaji inch 24 ila nasikia eti TCL hawatengenezi hizo sizeTCL the best
TCL TCL TCLNaomba ushauri kati ya Hisense ZAC na TCL,ipi ni Brand nzuri Kwa kuonyesha picha vizuri?