Ninunue zipi kati ya Tiles za Kichina na za Kispaniora?

Ninunue zipi kati ya Tiles za Kichina na za Kispaniora?

bg_dg_dy

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2009
Posts
606
Reaction score
493
Je, ni bora kununua za kichina ambazo zinazalishwa nchini kwa viwanda vya hapa nchini ama kununua za kutoka nje ya nchi mfano Spain, Italy n.k.
 
Je ni bora kununua za kichina ambazo zinazalishwa nchini kwa viwanda vya hapa nchini ama kununua za kutoka nje ya nchi mfano Spain, Italy n.k
Zote za kichina hizo.. Hao wanaenda China kuzifyatua na kubandika chata za Spain na Italy

Ushauri chukua za hapahapa nchini chukua za kampuni ya Twyford

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maisha si rahisi kihivyo.
Kuna tiles za China grade 1 hadi ya mwisho.
Kuna Tiles za Spain ambazo zimetengenezwa Spain na zingine China na ubora tofauti.
Tembea kwa makini usije lia baada ya Miaka 5
 
Je, ni bora kununua za kichina ambazo zinazalishwa nchini kwa viwanda vya hapa nchini ama kununua za kutoka nje ya nchi mfano Spain, Italy n.k.
Nunua za Tanzania ujenge uchumi wa taifa.
 
Back
Top Bottom