Michael Ngusa
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,637
- 463
Wordpress theme generator and Joomla template generatorUnanunua toka website gani.?
Sas mkuu hili linakuhusu vipi?, mm ni web developer, najua thamani ya software hiyo kikazi, na sio kwa pesa ya kuinunua.Sofware gani hiyo yenye bei kubwa hivyo?
Habari wapendwa,
Mwenye Visa Card inayoweza kufanya Online Purchase anisaidie kununua Software, ina gharimu Dollar 149, na kwa rate ya leo = 325,215 Tshs. Mimi ntakupa cash laki 3 na nusu. Tunakutana, nakupa link na hela, unanunua then nikishadownload (ni kama 4 Mb) biashara inakuwa imeisha. Call 0765900224
Mbona hukuwa-tag hao inaowahusu?Sas mkuu hili linakuhusu vipi?, mm ni web developer, najua thamani ya software hiyo kikazi, na sio kwa pesa ya kuinunua.
Wewe ndio sikukutag. Achana na thread yangu tafadhali.Mbona hukuwa-tag hao inaowahusu?
Anataka kununue kwenye website ya watengenezaji wa hyo software mbona maelezo ya mtoa post yapo clear kabisaI mean unainunua toka website gani.? EBay, amazon or wapi.?
Bure kabisa wewe, angalia isiwe unabishana na mwenye nyumba.Wewe ndio sikukutag. Achana na thread yangu tafadhali.
Haya. Nimeangalia.Bure kabisa wewe, angalia isiwe unabishana na mwenye nyumba.
Kutoka kwenye website ya hao jamaa watengeneza hiyo Software. Malipo ni kwa Paypal au njia ya kawaida maadamu Card ina uwezo wa kufanya Online Purchase.I mean unainunua toka website gani.? EBay, amazon or wapi.?
Kond wa bodaboda na software mbali mbali!!Sofware gani hiyo yenye bei kubwa hivyo?