Nio Onvo L60 ni clone ya Tesla Model Y: Wachina wazee wa kucopy na kupaste tu!

Nio Onvo L60 ni clone ya Tesla Model Y: Wachina wazee wa kucopy na kupaste tu!

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
26,961
Reaction score
77,890
Hawa jamaa hadi wana kera!

Ona hii hapa Tesla Model Y vs Nio Onvo L60.
Tesla_Model_Y_1X7A6211.jpg

images (5).jpeg


Hapo kwa mbele, ukitoa logo unaweza usijue ipi Tesla ipi Nio.
Tesla_Model_Y_1X7A7391.jpg
nio---onvo-l60.jpg
images (4).jpeg

Hadi kaa nyuma, wametembea na beat.
images (2).jpeg

Hadi ndani aisee ..

Tusiende kwenye technical specifications, ila Nio iko more efficient kuliko Tesla, ngumu kusema durability kwasababu Ndio ndio imetoka huu mwezi kwa pre-orders.

Bei sasa, kwa model ya 2024 Tesla wanauza $45,000 wakati Nio wanaanzia $30,000/=
 
Hakuna mwenye ubavu WA kubishana na wachina kwenye magari ya UMEME
Wenzao Volkswagen wanafikiria kuachana na uzalishaji magari ya UMEME baada ya kuangukia pua sokoni hasa Kwa nchi za ulaya na Asia
 
Back
Top Bottom