Hapo kwa mbele, ukitoa logo unaweza usijue ipi Tesla ipi Nio.
Hadi kaa nyuma, wametembea na beat.
Hadi ndani aisee ..
Tusiende kwenye technical specifications, ila Nio iko more efficient kuliko Tesla, ngumu kusema durability kwasababu Ndio ndio imetoka huu mwezi kwa pre-orders.
Bei sasa, kwa model ya 2024 Tesla wanauza $45,000 wakati Nio wanaanzia $30,000/=
Hakuna mwenye ubavu WA kubishana na wachina kwenye magari ya UMEME
Wenzao Volkswagen wanafikiria kuachana na uzalishaji magari ya UMEME baada ya kuangukia pua sokoni hasa Kwa nchi za ulaya na Asia