Niokoeni jamani nimeanza kumpenda Mzigua90

Niokoeni jamani nimeanza kumpenda Mzigua90

The only

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2011
Posts
10,805
Reaction score
14,181
Ndondondo si churururu ! Ndivyo ilikuwa nianza kwa kupenda michango yake iliyopevuka iliyosheheni mapenzi ya kweli na nia ya utulivu uso kifani,Taratibu dozi ikaanza kuniingia lahaula la kwata nikajaa nikawa bingwa wa kufuatilia post zake kuliko hata navyofuatilia za mshana jr ,deo msando na gudume .

Najileta kwenu waungwana mninusuru kwani nishaona dalili kuwa mzigua90 ataninyanyasa sana kwani mtizamo wake juu ya mahusiano ni hasi na ni dhahiri ni mtu mtemi asieshaurika, na ukiweka na kauzigua (Tanga ndo yalikozaliwa) mimi mnyalu wa watu najiona nikiuza kiwanja cha urithi.

Nafwaa wajameni.
 
Ndondondo si churururu ! Ndivyo ilikuwa nianza kwa kupenda michango yake iliyopevuka iliyosheheni mapenzi ya kweli na nia ya utulivu uso kifani,Taratibu dozi ikaanza kuniingia lahaula la kwata nikajaa nikawa bingwa wa kufua tilia post za ke kuliko hata navyofuatilia za mshana jr ,deo msando na gudume .

Najileta kwenu waungwana mninusulu kwani nishaona dalili kuwa mzigua90 ataninyanyasa sana kwani mtizamo wake juu ya mahusiano ni hasi na ni dhahili ni mtu mtemi asieshaulika ,na ukiweka na kauzigua (Tanga ndo yalikozaliwa) mimi mnyalu wa watu najiona nikiuza kiwanja cha urithi.

Nafwaa wajameni.
Kama una kibamia nakushauri uifute hiyo ndoto haraka sana. Mtoto anakuambia mwanaume Mashine.... nadhani utakuwa umenielewa

Mzigua90 njoo huku nakutafutia soko la mashine
 
Ndondondo si churururu ! Ndivyo ilikuwa nianza kwa kupenda michango yake iliyopevuka iliyosheheni mapenzi ya kweli na nia ya utulivu uso kifani,Taratibu dozi ikaanza kuniingia lahaula la kwata nikajaa nikawa bingwa wa kufua tilia post za ke kuliko hata navyofuatilia za mshana jr ,deo msando na gudume .

Najileta kwenu waungwana mninusulu kwani nishaona dalili kuwa mzigua90 ataninyanyasa sana kwani mtizamo wake juu ya mahusiano ni hasi na ni dhahili ni mtu mtemi asieshaulika ,na ukiweka na kauzigua (Tanga ndo yalikozaliwa) mimi mnyalu wa watu najiona nikiuza kiwanja cha urithi.

Nafwaa wajameni.
Yakobo : Mlango 1

14 Lakini kila mmoja hujaribiwa na tamaa yake mwenyewe huku akivutwa na kudanganywa.
 
Yakobo : Mlango 1

14 Lakini kila mmoja hujaribiwa na tamaa yake mwenyewe huku akivutwa na kudanganywa.
Haka kamstari kamekukamata mara ya pili hii unakatuma ,mkuu niache kidogo basi
 
Back
Top Bottom