Unaogopa chura ama?Mkuu mbona unazidi nitisha
Mkuu najua umeogopa kumwita ila Mimi nimeona ili roho yako itulie nimwite maana mhusika akina utapata majibu yanayo jitosheleza [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]Kuwa na kifua basi haya ni mambo ya kiume huoni sijamquote unanidhalilisha bhana mkuu
Kama una kibamia nakushauri uifute hiyo ndoto haraka sana. Mtoto anakuambia mwanaume Mashine.... nadhani utakuwa umenielewaNdondondo si churururu ! Ndivyo ilikuwa nianza kwa kupenda michango yake iliyopevuka iliyosheheni mapenzi ya kweli na nia ya utulivu uso kifani,Taratibu dozi ikaanza kuniingia lahaula la kwata nikajaa nikawa bingwa wa kufua tilia post za ke kuliko hata navyofuatilia za mshana jr ,deo msando na gudume .
Najileta kwenu waungwana mninusulu kwani nishaona dalili kuwa mzigua90 ataninyanyasa sana kwani mtizamo wake juu ya mahusiano ni hasi na ni dhahili ni mtu mtemi asieshaulika ,na ukiweka na kauzigua (Tanga ndo yalikozaliwa) mimi mnyalu wa watu najiona nikiuza kiwanja cha urithi.
Nafwaa wajameni.
Yakobo : Mlango 1Ndondondo si churururu ! Ndivyo ilikuwa nianza kwa kupenda michango yake iliyopevuka iliyosheheni mapenzi ya kweli na nia ya utulivu uso kifani,Taratibu dozi ikaanza kuniingia lahaula la kwata nikajaa nikawa bingwa wa kufua tilia post za ke kuliko hata navyofuatilia za mshana jr ,deo msando na gudume .
Najileta kwenu waungwana mninusulu kwani nishaona dalili kuwa mzigua90 ataninyanyasa sana kwani mtizamo wake juu ya mahusiano ni hasi na ni dhahili ni mtu mtemi asieshaulika ,na ukiweka na kauzigua (Tanga ndo yalikozaliwa) mimi mnyalu wa watu najiona nikiuza kiwanja cha urithi.
Nafwaa wajameni.
Usiogope hawa wameumbwa kwaajili yetuMkuu natetemeka
Sawa mkuu akifika nitag nikusaidieHuo ndo ushauri sasa teh teh teh
Usimsingizie mtoto wa watu, zilaumu tamaa zako Na uchu wako wa papuchi ya mbondeiHaka kamstari kamekukamata mara ya pili hii unakatuma ,mkuu niache kidogo basi