Unaweza kuweka Link ya tangazo lako la kwanza??Nilileta tangazo la kuuza kiwanja , lakini hajatokea mdau yoyoye wa kuweza kuniikoa. Kiwanja nakiiuzia shida inayonikabili ili nikaitatue.
Nilitaka kukiuza kwa bei ya millions 6, lakini sasa kutokan na muda umekwenda sana nimeamua kukiuza kwa bei ya hasara, nipeni millions 3.8 tu. Nilitegemea hili ndo jukwaa ambalo lingenisaidia mapema kutatua tatizo langu.
Kiwanja ni mitre 30×35, kipo Chanika mwisho, homboza.
Roho inaniuma sana nauza kitu changu afu sipati Wateja huku siku zimekwisha.
Mwenye kuhitaji anipe pesa nikatatue shida zangu nimpe kiwanja, ukiweza hata kesho tu njoo.
Mawasilano; 0786382988.
Nitashukuru sana mkinitatulia tatizo langu.
Akikuletea nitag mkuuUnaweza kuweka Link ya tangazo lako la kwanza??
Poa MkuuAkikuletea nitag mkuu
Pitia uzi wako wa kwanza utaona ulivonijibu kwa dhalau nilipokwambia kwa eneo kama chanika bei uliyotangaza ni kubwa sana ukizingatia eneo na hali ya uchumi..Nilileta tangazo la kuuza kiwanja , lakini hajatokea mdau yoyoye wa kuweza kuniikoa. Kiwanja nakiiuzia shida inayonikabili ili nikaitatue.
Nilitaka kukiuza kwa bei ya millions 6, lakini sasa kutokan na muda umekwenda sana nimeamua kukiuza kwa bei ya hasara, nipeni millions 3.8 tu. Nilitegemea hili ndo jukwaa ambalo lingenisaidia mapema kutatua tatizo langu.
Kiwanja ni mitre 30×35, kipo Chanika mwisho, homboza.
Roho inaniuma sana nauza kitu changu afu sipati Wateja huku siku zimekwisha.
Mwenye kuhitaji anipe pesa nikatatue shida zangu nimpe kiwanja, ukiweza hata kesho tu njoo.
Mawasilano; 0786382988.
Nitashukuru sana mkinitatulia tatizo langu.
Haina shidaPitia uzi wako wa kwanza utaona ulivonijibu kwa dhalau nilipokwambia kwa eneo kama chanika bei uliyotangaza ni kubwa sana ukizingatia eneo na hali ya uchumi..
Nina viwanja huko dsm/homboza so niliongea jambo nililokuwa nalifaham
NB:Bei ya sasa uliyotangaza mteja utapata japo lazima atalia umpunguzie japo laki 2
Labda alikuwa na frustrations... Msamehe bureePitia uzi wako wa kwanza utaona ulivonijibu kwa dhalau nilipokwambia kwa eneo kama chanika bei uliyotangaza ni kubwa sana...
Kiwanja kinauzwaUnaweza kuweka Link ya tangazo lako la kwanza??
Square mita kama 800.nilikilimisha nikakizungushia.kibaha kongowe kuna mtu nimemtuma mtu apige picha nasubiria maana sipo DarKina ukubwa gani? Kibaha sehemu gani?