Je umepimwa wewe? Maana usiseme hana tatizo inaeezekana sperm count yako iko chini sana.
IVF ni njia nzuri. Ila na yeye aache kujipa stress mambo haya hayahitaji stress.
wakati wa Mungu bado haujafika, kuwa na low sperm count ni sababu lkn pia inaweza isiwe sababu kabisa manake kama ziko na afya njema na sikapata propulsion force nzuri mbona zinatosha kuchavusha yai??Kiuwazi miimi nilikuwa na tatizo la low sperm count,ndo maana tulifanya ivf,tulistore sample nyingine tukatumia kama mara 3bia mafanikio,ndo maana namuhurumia mke wangu anavyoumia,ILA mungu ndo anaejua sababu,asanteni kwa kunipa Moyona namuomba mungu atupe mioyo ya subra,kabla sijamuoa Alisha zaa na mtu mwingine ILA mtoto alifariki na miaka mitatu,ndo inayomuumiza zaidi
Je umepimwa wewe? Maana usiseme hana tatizo inaeezekana sperm count yako iko chini sana.
IVF ni njia nzuri. Ila na yeye aache kujipa stress mambo haya hayahitaji stress.
Mke wangu amekata tamaa ya maisha kisa hatna mtoto tunalea WA wengine,tumejaribu njia zote za kisasa na kienyeji kwa miaka6 bila mafanikio,kila anapopata siku zake ni kilio kiukweli hana tatizo lolote la kiafya,nifanyaje jamani nampenda mke wangu namuonea huruma anavuosononeka kiasi natamani nimuache akaanze maisha na mtu mwingine labda atazaa,sina jinsi jamani,IVF tumefanya hamna kitu,nisaidieni jamani labda kuna njia mbadala siijui
nilipima mkuu tena India tukiwa na wife kila kitu chske kipo safi mimi ndo nilikuwa na tatzoNgoja arudi aje kujibu kama naye kapimwa kwa kina ili kujua mwenye tatizo si yeye.
Je umepimwa wewe? Maana usiseme hana tatizo inaeezekana sperm count yako iko chini sana.
IVF ni njia nzuri. Ila na yeye aache kujipa stress mambo haya hayahitaji stress.
nilipima mkuu tena India tukiwa na wife kila kitu chske kipo safi mimi ndo nilikuwa na tatzo