Nionavyo mimi, kuwa msanii maarufu Bongo ni kuwa kahaba na mhuni

Fisi wa Dar

Member
Joined
Apr 2, 2018
Posts
69
Reaction score
52
Fuatilia tabia na mienendo yao: Kabla ya kuwa msanii maarufu, nidhamu iko full. Baada ya umaarufu wa kisaanii ni kujiuza au kushinda na wasichana kila wakati, ulevi na uhuni uhuni, kuvaa hovyo. Hivi nii kwa nini?

We tafuta msanii maarufu hapa Bongo hasa wa kike aliyetulia, unaweza ukamtafuta wiki nzima usimpate.
 
hahaaa eti week nzima ..mimi mwenyew nimetumia masaa48 kufikiria mpaka kuweza kulipata jina hili "" VUMILIA
 
Mimi huwa nahisi Maua Sama ni bikra
 
kila kukicha, wasanii kuoa na kuolewa na kuachana. mara nyingi wanatembea na watu watatu au zaidi kutafuta kiki au umaarufu, HUU NI UHUNI PIA
 
Muhogo mchungu ndo "decent"na Asha boko
 
Yupo stara thomas
 
Ni ulimbukeni tu na maadili mabaya,wengi wao wanazaa na kulea watoto wenyewe bila wenzi wao,hawaoleki na kutulia na ndoa zao.Ni ushenzi mtupu kuishi maisha ya kihuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…