Nionavyo mimi:Ligi Kuu ya Vodacom Tz ingesimama kupisha Int'l break.

Ulimakafu

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2011
Posts
31,248
Reaction score
13,244
Kama wafanyavyo wenzetu Ulaya na kwingineko duniani,ligi yetu ya Vodacom ingekuwa inasimama ili kupisha michezo ya kimataifa.maana kwa sasa kuna timu zimeshacheza mechi tano zingine zina 2 tu,hivyo itapelekea upangaji wa matokeo baadae.
 
huwa ipo kwa simba na yanga na sasa hivi azam ila hawa wengine wanaendelea kucheza..

na hilo wazo lako ni zuri sana na ni endelevu..
 
Nafikiri si Simba na Yanga,ila walikuwa na idadi fulani ya wachezaji kati ya 3-5,suluhisho ni kusimamisha ligi.
 
na shida nini mkuu tff bado kale ka usimba na yanga ndio kanawasumbua wao wanafikiria matumbo yao halafu pia karibu maamuzi mengi siku yako ki siasa zaidi..
 
Hata iweje timu hizi lazima zibebwe tu,ama kweli.
 
<br />
<br />
kwani nyie ml&#305;kuwa mnataka n&#305;n&#305;?

tunataka iwe kama ya ulaya inasimama pindi mashindano ya kimataifa yanapofanyika kama ili tokea wiki iliyopita. unajingine mkuu
 
Hiyo ndio itaifanya ligi iwe balanced.
 
Mkuu, lini uliwahi kusikia TFF ina kalenda ya kuendesha shughuli zake! Mambo mengi yanaendeshwa kihisiahisia tu.
Ni kama genge la wasanii wanangoja mechi za Simba na Yanga wale fweza.
 
Back
Top Bottom