ngumukumeza
Senior Member
- Aug 7, 2013
- 113
- 20
kwa mwanadamu wakawaida anaweza fikiri kwamba kuwa na elimu kubwa eg masters,phd nk ndo kigezo kikubwa cha utendaji kazi kwa ufanisi kumbe sivyo. Authority ya kusema haya ninayo kupitia ofisi ya DPP, Huyu ni mtu tena anaitwa DK, Japo sijajua u doctor wake ni wa nini.pengine atakuwa amepewa either kwa kushindwa kesi nyingi, au kwa kuzima kesi ya Ulimboka, haya ni mawazo yangu. ningeshauri kuliko kuifedhehesha taaluma ya sheria na ili kulinda pesa za walipa kodi walala hoi ofisi yake iunganishwe nakuhamia MAKAO MAKUU YA CCM ambapo DPP awe MWIGULU,msemaji wa ofisi abaki NAUYE anafaa,mfagia ofisi apewe jamaa anaitwa LUSINDE mana ni mwaminifu na karani awe huyu PPD wa sasa. sijakosea kuandika PPD, safu ikipangwa hivi ela za walipa kodi zitaokolewa na taaluma ya sheria itaenziwaa.