Nionavyo Mimi: Wanawake ni Mashetani na Waasi toka Bustani ya Eden

Wadiz!! Heading inafoka mnoo🙌
ibaki hivyo ili iwaite waje wasome kwa hasira kisha wajue kumbe ni mixed feelings za inspirational message, people are complaining pesa ngumu Ila kila siku wanawaza ngono muda wote. Fighting spirit ya pesa ni adimu mno
 
WTF

Sema ndo Mama zetu
Mimi naamini sio watu wore wanaabudu pesa inategemea Mtu na mtu na umasikini wa Fikra na kitokuwa Authentic
Hapa hasa nchi masikini wanawake Njaa inawafanya wanajizalilisha utu wao kwa kiwango kikubwa .

Pamoja na hayo wanawake na wanaume wa nchi masikini wanamatatizo mengi kichwani kwao upendo ni msamiati ambo hawauelewi .


Cha muhimu ukiwa na fikra huru utajua kipi ukipe kipaumbele katika Maisha yako .
 
 

Attachments

  • IMG_2166.MP4
    9.3 MB
Mkuu umelenga vitabu vya dini mwanzo mpaka mwisho kuhusu wanawake, turudi kwenye nature je! Nature inajua ujinga au umasikini ?
nimeweka hivi niwatie hasira omba omba ni wengi mno na kuendeza zinaa, recently I have severally conversed with women wanatushangaa wanaume nawapa tahadhari.
 
nimeweka hivi niwatie hasira omba omba ni wengi mno na kuendeza zinaa, recently I have severally conversed with women wanatushangaa wanaume nawapa tahadhari.
Yea huo ni ugomvi mzito, mwanamke ikifika siku ya siku zake (anatakiwa atoke damu) akiona damu haimtoki anaanza kugombana yeye mwenyewe kwanini damu haimtoki ?(personal conflict)
 
ajabu ni kwamba umelala miezi tisa kwenye tumbo la shetani na kunyonya matiti yake wewe una bahati mbaya zaidi mkuu maana ukakutana pia na shetani ukalipenda likakuvunja vunja umefanya vema kuja hapa tukufariji maana kwa kujiua ungepunguza nguvu ya taifa inuka pangusa matako uanze upya
 
They can make you happy for their own sake.
 
Sio mashetani ila wanampenda shetani kuliko mwanaume, yaan ukimuuliza demu shetani na mshikaji wako unampenda nani anakuambia boyfriend wangu ila ukweli anaujua yeye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…