tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,854
- 1,129
Nashukuru umegundua hiloHalafu wanawake wa dizaini hiyo ukishaonesha kama unataka kumuapproach basi naye pozi ndo zitazidi hadi basi..!
n'wayz ndo necha yao...!
nilitaka kupata confirmation, bse mi naongea na kila mtu, nashangaa kuna wadada kama wanne wamenipa hizo lawama kwa nyakati tofautiTumeumbwa na aibu hivo mnatakiwa mtuelewe, hawezi kuja kukwambia anakupenda, atafanya kama hayo ili utambue mwenyewe
Utakuta msichana ambaye huna mazoea naye ya karibu,, haishi kukulaumu, mara ooh siku hizi huoni, mara unaringa na lawama nyingine kibao. Hapo ujue umeshazimiwa, ila anashindwa jinsi ya kukuanza na anaona huna uelekeo kabisa wa kumtongoza. NAWASILISHA.
ndio hivo sasa angalia kama wana viwango vyako unazishenilitaka kupata confirmation, bse mi naongea na kila mtu, nashangaa kuna wadada kama wanne wamenipa hizo lawama kwa nyakati tofauti
Tumeumbwa na aibu hivo mnatakiwa mtuelewe, hawezi kuja kukwambia anakupenda, atafanya kama hayo ili utambue mwenyewe
kimbilia motoni.....jaman wadada sie sijui tukimbilie wap