Kwa jinsi ilivyo wizara ya mambo ya ndani kuwa na hekaheka za matukio ya kihalifi nadhani wizara ya mambo ya ndani ilipaswa iwe na mtu mkali. Ukali wenye maana na kwenye mambo ya msingi.
Kimsingi kila Waziri kwenye eneo lake anapaswa kuwa mkali kwenye mambo ya msingi vinginevyo mambo hayawezi enda. Baadhi ya watu hawawezi enda au kufanya bila mjeledi.
Viongozi wetu hawana budi kuwa wakali. mfano; hata majumbani mwetu baba na mama wasipo kuwa wakali lazima watoto wataharibikiwa.
Naomba viongozi tuache upole sana. Wizara ya Ardhi imepooowa kama hakuna waziri, wizara ya Afya imepowa kama haina waziri. Wananchi wanataka viongozi mchape kazi na kukemee mambo yasiyo faa.