Political stability
JF-Expert Member
- Apr 7, 2021
- 906
- 1,401
Wazo zuri sana mkuu kila la heriWakuu habari..
Nina ka ofisini , huu ni mwezi wa 3 tangu nianze hii biashara ya mayai.
Sasa kwenye hii frem niongeze bidhaa gani nyingine , ? inayo endana na hii ya mayai.View attachment 2056973
Sent from my Infinix X572 using JamiiForums mobile app
Wakuu habari..

Ongeza jiko la chips nje au magunia ya viaziWakuu habari..
Nina ka ofisini , huu ni mwezi wa 3 tangu nianze hii biashara ya mayai.
Sasa kwenye hii frem niongeze bidhaa gani nyingine , ? inayo endana na hii ya mayai.View attachment 2056973
Sent from my Infinix X572 using JamiiForums mobile app
Naona una chuki na mtoa uziMkuu we ni maskini Sana Sasa hpo mtaji unaonekana ni laki 5 kiufupi we ni machinga na ofisi Kama choo Cha stendi!
Nitalifanyia kazi, kiongoziMbona ofisi chafu sana mkuu!?,yaani ofisi inakuweka mjini inakuwa chafu namna hiyo halafu ukikosa wateja utasema umelogwa?
SawaMkuu we ni maskini Sana Sasa hpo mtaji unaonekana ni laki 5 kiufupi we ni machinga na ofisi Kama choo Cha stendi!
Nipo KimaraNi vema ukatuambia uko eneo gani ili tujue nini cha kukushauri mkuu
oh shukrani, kwa ushahuri, nitalifanyia kazi hiliUza gesi..
Wakala wa simu..
Weka asali, mafuta ya kula jumla na rejareja mkuuWakuu habari..
Nina ka ofisini , huu ni mwezi wa 3 tangu nianze hii biashara ya mayai.
Sasa kwenye hii frem niongeze bidhaa gani nyingine , ? inayo endana na hii ya mayai.View attachment 2056973
Sent from my Infinix X572 using JamiiForums mobile app
Weka asali, mafuta ya kula jumla na rejareja mkuu
Asante, kwa kunipa moyo, kiufupi biashara changamoto sana, iwe ndogo au kubwaHongera sana.
Mwanzo Mzuri.
Safari Hatua.
Kila Hatua Dua