Niongeze bidhaa gani kwe frem ?

Tomato sauce size zote kubwa na ndogo, foil papers, take away za plastics na papers,mafuta ya kula yakupima Lita moja etc maana hizo product's zinaendana na wateja wengi wa mayai

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hii ya mafuta, safi .. maana nimezungukwa na mama ntilie , na wauza mihogo, na chips..

Sent from my Infinix X572 using JamiiForums mobile app
 
Napokea, ushahuri wenu, kuna siku nitaleta mrejesho.. Kuna member, kazungumzia asali, sijajua soko la asali lipoje ?

Sent from my Infinix X572 using JamiiForums mobile app
Kabla hujaanza kuuza hivyo vitu ambavyo mtu ananunua na kwenda kula moja moja kama asali mi nakushauri rekebisha kwanza ofisi mkuu, yani mtu akikaa nje iwe inamuita, pia jitahidi kupanga vitu vizuri mpaka pavutie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…