Nipake rangi gani ambayo itaweza kuendana na mabati ya GSM na ambayo hayatababuka?

Kwahiyo mkeo anataka kupaka rangi Paa kisa tu paa za majirani zenu zina rangi?
Live ur live jomba acha kupelekeshwa,wewe ndio muamuzi,utaishi kwa kucopy kwa majirani kila kitu?
Issue sio paa kupakwa rangi bali mkeo ana tatizo kubwa.
 
Chukua kiboko ni nzuri

Ndani mmeshapaka? kama bado karibu nikuuzie rangi nzuri kabisa ya mchanga au silk wash and wear
 
Paka rangi ya PVA red au brick red kampuni ya kiboko paint hutajuta na miaka 9 nauza na kuchanganya rangi
 
Nenda maduka ya rangi, kaulizie roof paint, na pia watake ushauri, rangi gani uichukuwe ambayo haita babua bati kwa muda mfupi
Rangi [roof paint] ya maji inafaa zaidi.
Huwa haibanduki.
Niliipaka miaka minane iliyopita lkn bado iko vizuri.
Rangi ya mafuta inabanduka.
 
Tunauza mbao kwa bei ya jumla.Njoo ofisini kwetu TEGETA tukuhudumie kwa gharama nafuu sana:-
2*2 fut12=2500
2*2 fut12(treated) ya dawa=2800
2*2 fut18(treated) ya dawa=5000
2*4 fut12 treated(ya dawa)=5000
2*4 fut12 isiyo ya dawa=4500
1*6 fut12=5000
1*8 fut12=8500
1*8fut12 ya fisher board(treated)=9500
1*10 fut12=13500
1*10fut 18 fisher board( treated)=15500
2*4 fut18(treated)=9500
2*6 fut12=8000
1*4 fut12=2800
2*6 fut 18=19000
Tunapatikana muda wote kwa namba za simu zifuatazo:-
----0759630751
----0687371138
----0654830416

vile vile kuna huduma ya kuchana,kuranda na kusize mbao inapatikana ofisini kwetu
 
Hongera Sana
Ila Sasa Hivi Hutakiwi Kupaka Rangi Yoyote
Mpaka Angalau Wataalam Wanashauri Lipigwe Jua
Yaani Miezi Kadhaa Ili Yale Mafuta Yaishe
Ndiyo Rangi Ikipakwa Itashika
 
Mi mwenyewe nipo upande wa mkeo, pendezesha nyumba....
 
Jengeni nyingine mweke mabati ya rangi. Acheni kuumiza kichwa kwa kitu ambacho hakiongezi thamni. OVA Kama akiendelea kukosa amani mwambia talaka itamhusu.
Jamaa we mkali.
 
Hapo ongozaneni na mkeo mkachague rang pamoja, unaweza ukachagua rangi ukapak ukakuta hiyo rangi ndio imemchefua zaidi kwenye finishing, mshirkishe mkeo kama unataka kumridhisha achague yeye rangi ya bati na rangi na nyumba
 
Mkuu mimi ni fundi rangi, naomba nikushauri kama unavutiwa na rangi ya Durk blue ya P .V .A. sifa ya rangi hii hata ikipauka huleta rangi ya blue bahari
hii ninzuri sana kwa bati maana huwa haishiki moto kwa mfano kama nyumba imeshika moto. Zipo rangi mbali mbali kutokana na bati rako unataka liwe na muonekano gani.
Kama unaswali unaweza niuliza pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…