Nipande daladala gani kutoka Mwenge TRA kwenda Kawe beach?

Nipande daladala gani kutoka Mwenge TRA kwenda Kawe beach?

Wakuu msaada wenu wa haraka

Nipo Mwenge TRA nipande gari gani nigike Kawe Beach?
Nenda pale mataa kapande gari za Kwenda Kawe zinazotoka Mbezi kupitia mawasiliano kisha ukifika Kawe panda gari zinazoenda mbagara au Kariakoo kisha mwambie konda nataka nishuke Kawe Beach atakusaidia
 
Nenda upande wa barabara ya sam nojuma kuna round about hapo juu utapata gari za mawasiliano kawe utashuka kituo cha mwisho.

Kutoka hapo mpaka beach unaweza kuchukua boda au bajaji mpaka beach au ukatandika TZ eleven mpaka beach.
 
1647332626179.png


Pantsir-S1 itakupeleka hadi mlangoni, then itaelekea Russia
 
Unajua kuna watu hawawezi kabisa kuuliza sijui ni nini kinasumbua tukubali kuwa bnadam tuko tofauti

Kuna wale 'wa kuja' huhofia zile stori za mikoani kwamba Bongo kuuliza buku kuelekezwa buku, au zile Bongo ukimuuliza mtu anakupoteza ili akukabe.
 
Back
Top Bottom