Sizan kama kuna mwingine atashauri tofauti na hiv..ungepanua kwanza ingependeza sana
nakushauri panua
panua wigo was biashara yako
Mkuu panua a.k.a extendNdg wana JF
Nina biashara ambayo inaendelea ina niingizia km Lak5 toa Gharama zote kwa mwenzi! Lakini biashara hii inahitaji mtaji mkubwa nimedunduliza kwa kipindi cha mienzi 6hivi Nina km 4ml
Naombeni ushauri nilikuwa na wazo LA kununua kiwanja ili nitengeneze mazingira mazuri ya kuaminiwa na benk niwe na chukuwa mkopo, baadae nijenge ...
Ni nunue kiwanja au nikuze mtaji kwanza.