Inaonekana kabla JPM hajafa alimwambia SSH lazima chato iwe mkoa manake sioni sababu nzuri ya kufanya hivyo isipokuwa ni wosia wa mtu!Gazeti la Nipashe toleo la leo limeripoti kuwa mchakato wa kuifanya wilaya ya Chato kuwa mkoa mpya wa CHATO umekamilika rasmi na sasa anasubiriwa rais Samia kuitangaza kuwa mkoa tarehe 14/10/2021 hivyo kutimiza ndoto na maono ya hayati Dr Magufuli aliyekuwa rais wa 5 wa nchi yetu.View attachment 1958050
Mchakato wa Chato-Burigi kuwa Mkoa ulikamilika tangu JPM achaguliwe kuwa Rais. Ni wazo alikuwa nalo siku nyingi sana. Alianza kugawa jimbo, Wilaya na baadae Mkoa. Sema utata ulikuwepo kwenye mgawanyo wa mipaka, makao makuu na jina la Mkoa mpya.Inaonekana kabla JPM hajafa alimwambia SSH lazima chato iwe mkoa manake sioni sababu nzuri ya kufanya hivyo isipokuwa ni wosia wa mtu!
Chato utakuwa n mkoa wa tatu baada ya Geita na SimiyuMwanza imezaa mikoa miwili ndani ya muda mfupi sana!
Gaidi akitoka atakuta mkoa wa ChatoVile mwendakuzimu amefurahia mchakato kukamilika kutokea huko kuzimu[emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1958157
Gaidi lilitokea CCMπππGaidi akitoka atakuta mkoa wa Chato
Huyu ni mwanafunzi wa gaidi mboeGaidi lilitokea CCM[emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1958209View attachment 1958213View attachment 1958211View attachment 1958212
View attachment 1958214
Yaani wewe tena ndo unapaswa uhamishiwe mkoa wa chato wilayani huko ukatumikie wananchiWanawaongezea wananchi na wakazi wa Chato garama za maisha zisizo za lazima.
Kampeni 25 atarudi kwa kasi na ile sera ya maji...Gaidi akitoka atakuta mkoa wa Chato
Mmmmh!Gazeti la Nipashe toleo la leo limeripoti kuwa mchakato wa kuifanya wilaya ya Chato kuwa mkoa mpya wa CHATO umekamilika rasmi na sasa anasubiriwa rais Samia kuitangaza kuwa mkoa tarehe 14/10/2021 hivyo kutimiza ndoto na maono ya hayati Dr Magufuli aliyekuwa rais wa 5 wa nchi yetu.View attachment 1958050