Hawa jamaa wa St. Joseph joining instruction zao zinapatikana chuoni, xo kama unahitaji joining instruxn nenda chuoni kwao AU ka' upo mikoani tafuta m2 unayemfahamu aende akakuchukulie pale chuoni. MAELEZO MENGINE MUHIMU. Kutakuwa na registration kuanzia tarehe 18/09/2012 na Academic year inaanza tarehe 26/09/2012.