Nipe 15m,njoo baada ya miezi 6 uchukue 18m,dhamana nyumba iko nanenane morogoro!!!

Nipe 15m,njoo baada ya miezi 6 uchukue 18m,dhamana nyumba iko nanenane morogoro!!!

CHAI CHUNGU

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2012
Posts
7,113
Reaction score
933
Wakuu nimekwama baadhi ya mambo fulani hivi,sasa natafuta mkopo wa shillings 15,000,000 million na ntarudisha shillings 18,000,000 ndani ya miezi sita tuu.

Dhamana ni nyumba iko Morogoro nanenane,ina hati na tayari inatumika kwa makazi ya binadamu.
kwa aliye serious ani PM au anifate hewani kwa namba hii:0719 087 330

Nawasirisha.
 
Weka picha ya nyumba.
 
Kwanini usiende bank,wakati collateral unayo

Ni kweli wazo zuri hilo maana tatizo la wengi ni usumbufu katika urejeshaji. Wengine hatutaki kuanza kuacha shughuli zetu na kuanza kusumbuana na mtu, mara mahakamani mara wapi katika marejesho.
 
Wakuu nimekueleweni,but imepatikana dharula na nnahitaji pesa hii kwa haraka,kwa bank inaweza chukua muda mrefu huku ikikulazimu kuhonga pia!
So that's why nimeamua kuileta hapa shida yangu hiyo.
 
Back
Top Bottom