CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 933
Weka picha ya nyumba.Wakuu nimekwama baadhi ya mambo fulani hivi,sasa natafuta mkopo wa shillings 15,000,000 million na ntarudisha shillings 18,000,000 ndani ya miezi sita tuu.
Dhamana ni nyumba iko Morogoro nanenane,ina hati na tayari inatumika kwa makazi ya binadamu.
kwa aliye serious ani PM au anifate hewani kwa namba hii:0719 087 330
Nawasirisha.
Kwanini usiende bank,wakati collateral unayo
Ok Mkuu ngoja nilifanyie kazi.Kachukue hela benk tena unavuta mpunga wa kutosha tu...!!
inaonekana Agrobuz hajawahi kuwa na bank account, pesa zake zinahifadhiwa kwa m pesa na tigo pesa tuKwanini usiende bank,wakati collateral unayo