Technophilic Pool
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 2,597
- 3,965
Wataalaam
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu shukran lakin nina maswali1.Invoice inayoonyesha thamani ya mzigo,aina ya mzigo na kiwango chake,uzito na idadi
2.Kibali toka Bodi Au mamlaka husika ya hiyo malighafi
3.chagua wakala wa forodha atakae kusimamia shughuli za forodha na uondoshaji wa mzigo,kwa njia ya maji,Anga Au Barabara
4.Wakala atawasiliaha vibali vyako kwenye mfumo wa forodha kisha utafuata taratibu zinazotakiwa
KaribuMkuu shukran lakin nina maswali