Nipe Bei za mazao haya kwa mkoa wa Tabora na Shinyanga

Kichochoro

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2017
Posts
1,135
Reaction score
1,167
Hellow wanaJF,

Naomba kama kuna mtu anaweza kuwa anafaham Bei za mpunga, mahindi, na karanga kwa mkoa wa Tabora na shinyanga.

Nawasilisha tafadhali.
 
Mchele hapa Tabora bei ya chini kabisa ni Tsh.700, hadi Tsh.2000 per kg,mahimdi debe ni Tsh.11,000
 
Unaibiwa,,uende shy debe 7000-8000

Mwanaume hatakiwi kuwa hivi ungeandika tu shinyanga ni 7000 mambo ya kuibiwa yamekuajaje wakat yeye kataka mbeyaa hizo ni husda na hasada kwa mwanaume hainogi
 
mwanaume hatakiwi kuwa hivi ungeandika tu shinyanga ni 7000 mambo ya kuibiwa yamekuajaje wakat yeye kataka mbeyaa hizo ni husda na hasada kwa mwanaume hainogi
Husda..!!,mie namsaidia kujua cheap source ya mpunga,wewe unaita husda?.
Nini maana ya kupashana taarifa kupeana bei toka sehemu tofauti tofauti sasa?,,neno umeibiwa ni kionjo tu,,
We mbona mzito sana kichwani asee?
 
Husda..!!,mie namsaidia kujua cheap source ya mpunga,wewe unaita husda?.
Nini maana ya kupashana taarifa kupeana bei toka sehemu tofauti tofauti sasa?,,neno umeibiwa ni kionjo tu,,
We mbona mzito sana kichwani asee?
Hili jibu zuri sana kwanza yy mazao hayajui mbunga ni mbegu kuna mbegu nyingine ni nyepesi mno kuna nyingene ni nzito afu pia azikatiki katikikatiki mashineni mpunga wa kyela uko vzr mno ndomana bei yao iko juu afu pia yy katika bei why aanze sema eti naibiwa inamaa Mbeya nzima uku Kyela wanaibiwa???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…