Nipe benchi zuri linalotosha kukaa mpaka watu wanne

Nipe benchi zuri linalotosha kukaa mpaka watu wanne

Codename96

Member
Joined
Sep 17, 2020
Posts
90
Reaction score
85
Kama una benchi zuri la mbao (lisiwe la chuma na lisiwe na sehemu ya kuegemea) linalotosha kukaa mpaka watu wanne njoo PM tufanye biashara.

Kama wewe ni fundi seremala na unaweza kuniahidi kunitengenezea benchi za aina hiyo kwa haraka (nataka tatu tu) njoo PM tuone tunafanyaje.

Nasisitiza, uwe na uwezo wa kunitengenezea fasta maana kuna fundi tumegombana nae, alichukua advance akawa ananizungusha zungusha tu kazi yangu hanifanyii. Ikabidi nimnyang'anye ile advance.

Kwahiyo kama naweza kupata benchi kwa haraka itakuwa vizuri.
 
Ila mkuu dar kubwa na ina mafundi wengi si utafute mwingine
 
Back
Top Bottom