Nipe IST namba D ya sh 6.5m

Nipe IST namba D ya sh 6.5m

Bexb

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2016
Posts
715
Reaction score
1,619
Habari wadau, nahitaji Toyota IST yenye namba D yoyote ile hata iwe DAA iliyopo Dar. Budget yangu ni Milion 6.5 TU!! Hiyo ndiyo hela iliyopo ni vema likazingatiwa. Kama unalo hilo gari nicheki whatsapp kwa namba 0755963775
 
Ndugu, gari unaweza pata ila itakuwa ama ya transit iliyosajiliwa kiuwizi au ya wizi kabisaaa iliyobadilishwa chasisi ikapewa namba ya gari iliyopata ajali gari hiyo ikachinjwa na kadi ikauzwa kwa wezi.

Kuwa mwangalifu. Utapigwa mkenge .

Kodi tu inazidi 4m
 
Ndugu, gari unaweza pata ila itakuwa ama ya transit iliyosajiliwa kiuwizi au ya wizi kabisaaa iliyobadilishwa chasisi ikapewa namba ya gari iliyopata ajali gari hiyo ikachinjwa na kadi ikauzwa kwa wezi.

Kuwa mwangalifu. Utapigwa mkenge .

Kodi tu inazidi 4m
Natambua hilo, kama unayo niambie nije kukagua
 
Habari wadau, nahitajiToyota IST yenye namba D yoyote ile hata iwe DAA iliyopo Dar. Budget yangu ni Milion 6.5 TU!! Hiyo ndiyo hela iliyopo ni vema likazingatiwa. Kama unalo hilo gari nicheki whatsapp kwa namba 0755963775
Tafuta piki piki jamaa
 
.
Screenshot_20210123-153444.jpg
 
Uzi wa kipolisi kutafuta watu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16]
 
Asanteni wakuu kwa ushirikiano wenu, tayari nimepata gari. Hii ndio Jamii forums ninayoifahamu haijawahi kunifwlisha.
 
Back
Top Bottom