Dola Iddy Wa Chelsea
JF-Expert Member
- Sep 26, 2014
- 2,125
- 1,526
SWALI KWA wanaume !!
Ebu Tuambiane ukweli katika hili please!!
Upo home unaishi na wazazi pamoja na
dada yako,
sasa dem wako anakwambia bwana
nataka nije kwenu alafu ukicheki home msala kwa wazazi sasa unampanga dadaako kwamba awadanganye wazazi
kama atakuja rafiki yake (dem wako)
atakaa home kwenu kama wiki
moja.Dadaako anakubali ombi lako, kweli
dem anakuja halafu usiku anakuja kulala chumbani kwako bila wazazi kujua. mpaka wiki inaisha anaondoka
home huku wazazi wakijua alikuwa rafiki
wa dada ako.
Sasa baada ya siku mbili dadaako nae
anakwambia ana bwana ake anataka kuja nawe ujifanye rafiki yako alafu usiku kama kawa anaingia geto kwa sista!
Ungekubali?
Mdogomdogo kakaHebu tuondolee hizi story za watoto wanaocheza kombolela. Peleka kule facebook kwa vijana wa rika lako. Tumechoka kusoma upuuzi.
Sawa mkuungoja wanaokaa kwa wazazi waje wakujibu.
kwanini cesilia?hahaaaaaaaa hapo ugumu upo kabisa
Mheshimiwa Mshana jr naelewa na sina neno na wewe mkuu , heshima yangu kwako kiongozi.Am sure uko under 25...sina maana mbaya wala sio kuwa nakukejeli
Hahaha sawa mkuu pita vile mheshimiwa.Trouble in paradise!.Sina cha kusema!.
Perterchok unamaanisha nini unaposema dada wa mwendokasi?huyo labda awe dada wa mwendokasi, mwanamke ampeleke bwanaake nyumbani kwao kumnjunja?
mkuu dawa ya mpuuzi ni kumpuuzia , lakini kinachoshangaza huyu mpuuzi anaepost anaepost upuuzi, huu upuuzi unapata maoni kutoka kwa anaemwita mtoa post mpuuzi, KAMA HUJAELEWA SOMA TENA MHESHIMIWA.Hebu tuondolee hizi story za watoto wanaocheza kombolela. Peleka kule facebook kwa vijana wa rika lako. Tumechoka kusoma upuuzi.
...... Unknow post[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Duh mkuu mi simo ngoja waje wahusika sijui utawabebea mbeleko ganiFamilia nzima ni Malaya!!
kaniki au kitenge cha KTMDuh mkuu mi simo ngoja waje wahusika sijui utawabebea mbeleko gani