dogo akileta wake ntamwambia alale room 1 n housgl jamaa akthubut kumwendea kabl ya tendo housgl anapga mayowe il watu waamke akidai panya kamgusa kumbe ni mchongo wa Mm na housglHahahaha Me too mkuu haya tuashumu wewe ndo kaka mtu utachukua uamuzi gani?
Acha udikteta bana jukwaa huru acha kila mtu aseme lake!acha kujifanya mlumumbaHebu tuondolee hizi story za watoto wanaocheza kombolela. Peleka kule facebook kwa vijana wa rika lako. Tumechoka kusoma upuuzi.
hahahahaha haya CHIKIRAkaniki au kitenge cha KTM
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ni mtazamo katika makuzi kwa level aliyonayo kwasasa haya ndio mambo yanayomzunguka, sio kwamba ni tatizo la hasha ni hatua kuanza kuelekea kwenye ulimwengu wa changamoto za maishaSijui ulikua unawaza nini!!??
Ndio ushangae sasa mkuu yaani watu wengine sijui wakoje wanaforce mtoto wa kindagate asome chuo kikuu, Sina maana mbaya naunga mkono hoja yako.Acha udikteta bana jukwaa huru acha kila mtu aseme lake!acha kujifanya mlumumba