Nipe jibu la swali langu!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,794
Reaction score
9,075
Kuuliza si ujinga, naomba unisaidie kupata majibu ya maswali haya manne 4:-
1. Aliyechora ramani ya Dunia alipo kuwa anaichora yeye alisimama wapi?
2. Mtu wa kwannza kutengeneza pesa, yeye alilipwa nini?
3. Aliyegundua kusoma shule yeye alisoma wapi?
4. Mtu wa kwanza kupata degree walimu wake walikuwa na kiwango gani cha elimu kishule?
Ukishindwa mtumie mwingine naye leo mpaka tupate majibu [emoji4]
 
mi nataka kujua chuo kinachofundisha kutengeneza pesa kiko wapi. nataka nikajiunge.
 
Mm ndomtu wa kwanza kutengeneza pesa lkn kwasas nimemaliza clinical officer naniko mtaa
 
-Mtu wa kwanza Kutengeneza fedha alijilipa yeye hizo fedha.
-Ramani inatengenezwa kwa kuipiga picha yote kwanza kisha ndio unakaa chini unaidreft kutoka kwenye picha.
-Kuna Genius hao ndio walikuwa wa kwanza kupata degree na kuwapa mafunzo vilaza wengine.(Kugundua shule na degree swali lako lina majibu hapa).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…