Nipe jina FM Radio

Ningeshauri jina liwe la Kiswahili.
Unajua Tanga ni Mwambao wa Pwani na ndio maeneo yalionza kusambaa kiswahili kwa kasi kuja bara hadi jirani zenu wa Mombasa.

Majina nionayo Mie:
a) Swahili FM
b) Usambara FM
c) Usambara Hills FM
d) Manza Bay FM
e) Ocean FM

Ziada:_
Kangamoja FM
Kangamoko FM
Kigodoro FM
Mapenzi FM
Kiunoviuno FM
Mamwinyi FM
Wajaleo Wabakihukohuko FM
 
Mi napendekeza jina liwe la tunda,mfano
Orange fm (Ora fm)
Apple fm n.k

Au liwe jina la herufi moja,mfano
T-fm (T=tanga)
au herufi ya kwanza la mwenye radio au jina la mtoto au ukoo
 

Napendekeza majina mawili mnaweza chagua moja kati ya hayo.Sababu ya kupendekeza yote mawili ni kuwa jina moja linaelekeana kdg na lililokwisha pendekezwa na mdau m1 ni idea niliyokuwa nayo kabla cjamaliza kusoma huu uzi.

Iitwe T.Fm nikimaanisha Tanga Fm Bila A km ilivyopendekezwa hapo juu au

Y.Fm nikimaanisha Youth Fm kwa kuwa inawahusu vijana zaidi.

All the Best.
 
Last edited by a moderator:
Kibandamaiti Fm
Mchambawima FM
Kwamtipura FM
Ditopile FM

Juju FM
Mashamsham FM
Kahawa FM
Baiskeli FM
Kanga FM
 

That's the best you can reward the winner?
 
That's the best you can reward the winner?
Hekima tele kumbe na wewe hii umeiona?
Nilitaka kuichomekea mwanzo nikaona nitaharibu mazingira.

Winner lazima apewe pesa,we unamualika mtu Tanga yeye yupo Lindi analima korosho,aache kazi zake aje kwenye ufunguzi.
Hapa weka Pesa tu,hata kama laki moja,lakini at least iwe fweza.
Kuna Hotel Moja ilifunguliwa Kigoma pale na ikatoka nafasi kama hii miaka ya 1980s,mshindi alikula laki moja ya miaka hiyo.
Huu mfumo upo nchi nyingi,ikiwemo hili suala la majina,ku create nembo hii hata hapa nchini ipo na mshindi mbali na kupewa offer zote hizo hupewa na pesa.
 

Niliamua kupuliza vuvuzela kidogo.
Ha ha ha ah ha
 

Kaka umependekeza majina ya kizungu sana jambo litakalo ipa ugumu kufahamika kwa haraka. Mi nafikiri, Money Stunna alitoa pendekezo zuri. Radio iitwe " AMBONI FM ". Unaweza pia kuiita USAMBARA FM au PWEZA FM but AMBONI FM is the best
 
Shukrani wadau, msiwe na wasiwasi zawadi zipo nyingi sana na hata ajira watu wataramba hapa hapa jamvini. Lakini hatuwezi kusema yote hapa mambo mengine yanabaki siri na ni kawaida kwa jambo hilo la usiri. Ukisikia mwaliko lazima uendane na kabahasha na pia napenda kuwatoa hofu wapu miongoni mwetu wametoa mawazo mazuri sana na tayari sio tu kuchukua mapendekezo yao bali tumewasiliana nao kuona ni jinsi gani wanaweza kuboresha na mwisho wa siku tukawa na kitu bora kwa maslahi yetu na kwa jamii nzima. Tunawashukuru wale wote wanaoumiza vichwa na tuko pamoja nao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…