Nipe maneno ayawazayo huyu aliyeshika hii jezi!

Nipe maneno ayawazayo huyu aliyeshika hii jezi!

Chakaza

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2007
Posts
40,455
Reaction score
73,145
Je, huyu aliyeshika hii jezi sura yake inatupa ujumbe gani kwa jina lililopo hapo?

Sentensi za ujumbe fupi fupi bila hasira!

20230722_060526.jpg
 
Poleni sana, hakika mna kazi, mmekwama. Nina uhakika jina samia mnaliota kabisa usingizini
 
Hii ni kwa sababu kashika dunduka lkn ingekua wananchi hapa pangechimbika
 
Je, huyu aliyeshika hii jezi sura yake inatupa ujumbe gani kwa jina lililopo hapo?

Miale ya jua linampiga sehemu kubwa ya sura hivyo kakunja ndita kufanya kivuli sehemu za macho...
 
Back
Top Bottom