Hajaelewa nia ya uwepo wa hilo jina kwenye jezi.Jee huyu aliyeshika hii jezi sura yake inatupa ujumbe gani kwa jina lililopo hapo?
Sentensi za ujumbe fupi fupi bila hasira!
View attachment 2695751
You are a stupid of the century. Mtu mwenye akili japo kidogo hawezi kuwaza hivi.Mtampenda tu hata akiuza bandari
Mtatukana sana awamu hii, tunataka Tanganyika yetuYou are a stupid of the century. Mtu mwenye akili japo kidogo hawezi kuwaza hivi.
Kumbe jezi za kisiasa?Je, huyu aliyeshika hii jezi sura yake inatupa ujumbe gani kwa jina lililopo hapo?
Sentensi za ujumbe fupi fupi bila hasira!
View attachment 2695751
Je, huyu aliyeshika hii jezi sura yake inatupa ujumbe gani kwa jina lililopo hapo?
Huyu mwakilishi wao nchini Boss la DP World, ana majibu sahihi.Waarabu wetu wanakuja lini kwani