Nipe mawazo yako kuhusu hili

Nipe mawazo yako kuhusu hili

neno linalo maana sawa na jadi ni:

  • desturi

    Votes: 2 50.0%
  • mila

    Votes: 2 50.0%
  • ada

    Votes: 0 0.0%
  • neno jingine

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    4

MwanafunziTokaUrusi

New Member
Joined
Feb 18, 2017
Posts
4
Reaction score
4
Hamjambo marafiki! Mimi ni mwanasayansi kutoka Urusi. Zina langu ni Maria. Mnisaidie tafadhali kupeleleza swali hilo. Mniandikie fikra zenu kuhusu jadi na mila za Wabantu na maana ya jadi katika jamii. Nitafurahia kupokea mawazo yenu yo yote. Asante sana!
 
Kiswahili wajijua vyema?
Ninajifunza Kiswahili miaka 4 hivi, nilikuwa katika Tanzania mwaka uliopita, na sasa naandika insha kuhusu Shaaban Robert, lakini siwezi kutafuta yo yote kuhusi jadi za Wabanti (zilizoandikwa kwa Kiswahili) , kwa hivyo naomba msaada wenu)
 
Unataka upate mawazo ya mtu yeyote au unataka watu wakupe special sources ukafuatilie!?
Na ukumbuke kuwa wabantu si homogenious, so hutofautiana sehem kubwa pia kwenye jadi zao.
 
Ukiwa na special sources itakuwa bora kwa ajili yangu.
 
Unataka upate mawazo ya mtu yeyote au unataka watu wakupe special sources ukafuatilie!?
Na ukumbuke kuwa wabantu si homogenious, so hutofautiana sehem kubwa pia kwenye jadi zao.
nahsi anataka general idea of bantu , source yake kabla ya kutapakaa
 
Back
Top Bottom