MwanafunziTokaUrusi
New Member
- Feb 18, 2017
- 4
- 4
Ninajifunza Kiswahili miaka 4 hivi, nilikuwa katika Tanzania mwaka uliopita, na sasa naandika insha kuhusu Shaaban Robert, lakini siwezi kutafuta yo yote kuhusi jadi za Wabanti (zilizoandikwa kwa Kiswahili) , kwa hivyo naomba msaada wenu)Kiswahili wajijua vyema?
sihusu siasa kabisa. naandika insha kuhusu Shaaban Robert, ninajifunza fasihi tu)mwanafunzi wa sayansi yani political sayansi au real sayansi , nimeuliza hivyo kutokana na nature ya swala lako
Unataka upate mawazo ya mtu yeyote au unataka watu wakupe special sources ukafuatilie!?Ninajifunza Kiswahili miaka 4 hivi, nilikuwa katika Tanzania mwaka uliopita, na sasa naandika insha kuhusu Shaaban Robert, lakini siwezi kutafuta yo yote kuhusi jadi za Wabanti (zilizoandikwa kwa Kiswahili) , kwa hivyo naomba msaada wenu)
Ukiwa na special sources itakuwa bora kwa ajili yangu.Unataka upate mawazo ya mtu yeyote au unataka watu wakupe special sources ukafuatilie!?
Na ukumbuke kuwa wabantu si homogenious, so hutofautiana sehem kubwa pia kwenye jadi zao.
nahsi anataka general idea of bantu , source yake kabla ya kutapakaaUnataka upate mawazo ya mtu yeyote au unataka watu wakupe special sources ukafuatilie!?
Na ukumbuke kuwa wabantu si homogenious, so hutofautiana sehem kubwa pia kwenye jadi zao.