calabocatz
Senior Member
- Jan 1, 2017
- 110
- 88
Bloom ndio nini mkuu....?Umepotea jukwaa mkuu_!!!!!!!!*€¥ ...mpe bloom lako lote ..atakuelewa tu
Mkuu nenda ukafike bei angalau kwa nusu zile nyumba za lugumi then dem atakuamini kuwa una mkwanja mrefu na sio boom. Utamng'oa kirahisiTuko chuo na wote ni mwaka wa kwanza.ukwel nampenda sana.ila yuko serious muda wote.nilimwomba namba kanipa ila kuna limjamaa lina msomesha tena pemben yang tu .nipen mbinu naoa nikipata huyu mwanamke .
Nawe msomeshe tu mkuu kila mtu na bahati yake. Mi sikuamini siku nilivyompora demu baunsa mmoja nilitia vocal zangu zikaeleweka.Tuko chuo na wote ni mwaka wa kwanza.ukwel nampenda sana.ila yuko serious muda wote.nilimwomba namba kanipa ila kuna limjamaa lina msomesha tena pemben yang tu .nipen mbinu naoa nikipata huyu mwanamke .
No boom aisee...wengine hata boom hatujapata na chuo ndo ivo tena...ila we mkuu unawaza kumpa dem daaaa...mungu anakuona...pesa inatabia ya kupoteaBloom ndio nini mkuu....?
Kijana tulia mbona utaona wengi mpaka unamaliza na kati yao hutooa hata mmojaTuko chuo na wote ni mwaka wa kwanza.ukwel nampenda sana.ila yuko serious muda wote.nilimwomba namba kanipa ila kuna limjamaa lina msomesha tena pemben yang tu .nipen mbinu naoa nikipata huyu mwanamke .
bloom?Umepotea jukwaa mkuu_!!!!!!!!*€¥ ...mpe bloom lako lote ..atakuelewa tu
Dah! We kweli bado mvulana, hakuna mkate mgumu mbele ya chai ukumbukeTuko chuo na wote ni mwaka wa kwanza.ukwel nampenda sana.ila yuko serious muda wote.nilimwomba namba kanipa ila kuna limjamaa lina msomesha tena pemben yang tu .nipen mbinu naoa nikipata huyu mwanamke .