Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1.kujifungia ndani siku nzima bila kuulizwa na mtu
2: kushinda ndani bila nguo nazunguka tu nafanya kazi zangu.
3: kuongea na simu loudspeaker iwe siri au kawaida.
4: kupika ninachojisikia kula at anytime.
5: nikifanya usafi kila kitu ninavyo kiacha ndo nakikuta hivyo hivyo.
6: kula kwenye sufuria hasa chakula kikiwa kimebaki kidogo.
Nimependa namba mbili1.kujifungia ndani siku nzima bila kuulizwa na mtu
2: kushinda ndani bila nguo nazunguka tu nafanya kazi zangu.
3: kuongea na simu loudspeaker iwe siri au kawaida.
4: kupika ninachojisikia kula at anytime.
5: nikifanya usafi kila kitu ninavyo kiacha ndo nakikuta hivyo hivyo.
6: kula kwenye sufuria hasa chakula kikiwa kimebaki kidogo.
Fisi kazini😊😊Nimependa namba mbili
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuzurula utupu
Kutoa cheko la kishambenga ninapokutana na vioja mitandaoni
Kupika sio lazima
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]1.kujifungia ndani siku nzima bila kuulizwa na mtu
2: kushinda ndani bila nguo nazunguka tu nafanya kazi zangu.
3: kuongea na simu loudspeaker iwe siri au kawaida.
4: kupika ninachojisikia kula at anytime.
5: nikifanya usafi kila kitu ninavyo kiacha ndo nakikuta hivyo hivyo.
6: kula kwenye sufuria hasa chakula kikiwa kimebaki kidogo.
4: Maji unanywea kwenye jagi,Raha ya kuwa single ni ipi
1.unaludi muda utakao huulizwi na mtu
2.unaonjea mboga kwa mwiko [emoji23]
3.ukitoka kuoga una jifutia pazia
Ongezea na zako[emoji116][emoji16]
Nilikuwa Natafuta tu hii kwenye comments.Kupiga nyeto muda wowote