Nipe sifa ya jamii hii ya mbwa

Ila yanasaidia kuwasanua wenye nyumba wezi wakuku wanapotaka kuiba mkuu
Yanasaidia sawa, lakini tuna wajibu wa kuwatunza.

Yaani leo nimechafukwa mpaka KOMWE LINAFUKA MOSHI.

Tunawachukulia poa sana hawa wanyama, tunataka watulinde huku tumelala ndani tukiwa tunajamba na wake zetu LAKINI hatuchukui jukumu la kuwatunza.

Unamsikia mtu ati oooh mimi nataka mbwa mkalii, mbwa mwenye maguvu kama GERMAN SHEPHERD, THUBUTUUU!!!

Mbwa halishwi, hapewi dawa, hasafishwi, amejaa minyoo tumboniiii, halafu akulinde, tena ati awe mkali, wewe umelala ndani UNAJAMBA!!
 
Tuliza komwe mkuu ,sasa mfugaji mwenyewe kajaa minyoo unategemea nini , binafsi nikiwa mdogo nilikua na wakwangu kalikua kana minyoo, kalikua kanaitwa pegi ila mungu si asumani kalisha uma mtu.
 
Akifugwa na mzungu huwa ni mbwa mwenye akili, mlinzi na hodari.

Akifugwa na msambaa, mpare au msukuma ndo wale wanaokula mapera na mahindi wanapata constipation usiku saa ya haja wanalia kwa uchungu wasambaa na wenzao wanasema ameona mchawi.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ we jamaa weweπŸ™Œ ni more than comedyπŸ˜‚πŸ˜‚βœ‹
 
HAwa ni wasafisha mtaa kwa kula mavi ya watoto[emoji23][emoji23][emoji23]
Hehehe hio nilishawahi shuhudia mbwa akila mavi yamtoto
 
hawa mbwa hutoa milio tofauti
Kulingana na aina ya kitu au mtu mbaya walio muona
Mfano akipita mwizi atabweka -wowowowowo
Kikipita kitu kibaya ambacho binadamu hawez kukiona kwa macho hutoa mlio wa -wuuuuuuuuuuuuuuu
Wanasifa ya kuona visivyo onekana na hawapatan na wachaw
 
Na kuzoea hata mtu asiemjua kwa mfano akipiylta njia ukamwita ukamnyooshea mkono yeye anatikisa mkia kabisa kama anakujua sana yani
Kipind niko mdogo mzee alipewaga huyu na rafiki yake bana we tukawa tukienda kulala tunashangaa usiku pako kimya kama hamna mbwa kumbe kamajaa kanaendaga kulala kwenye ghala la mahindi na chenyewe
 
Sasa wewe komwe lako ndo utuendeshe mkuu!!? Kama bandari yetu tu yenyewe inauzwa na tunalala bila wasi wewe nani hasaa!!?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu uko serious kweli kwa hili?
 
Mbwa pekee mwenye sifa/misifa ili awe mkali lazima aone mwenyeji pembeni.

ukimkuta peke ake ukimkazia macho anajifanya hajakuona ila subiri awe na mwenye nyumba wake halafu utokee atavyojifanya German Sherphad.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…