Nipe top5 ya ngoma unazozikubali kutoka kwa Ngwea

Nipe top5 ya ngoma unazozikubali kutoka kwa Ngwea

KAMA ANGEKUWA HAI, LEO ANGETIMIZA MIAKA 41. ALIZALIWA SIKU YA LEO.



Nipe top5 ya ngoma unazozikubali kutoka kwake. Hakuwahi kuwa na ngoma mbovu ile nipe 5 tu za moto.

Mimi hizi hapa.

1.Masikini Wenzangu.
2.Mikasi.
3.Tupo Juu.
4.Mapenzi gani.
5.Cnn.
Nipeni dili masela nikamate mahela bonge la nyimbo🙌
 
Kafa ndio akawa maarufu? Ulikuwa na umri gani wakati A.K.A Mimi Album imesimamisha nchi? Ulikuwa wapi wakati Fid anarudia vesi. Ulikuwa wapi wakati Mikasi ni nation anthem?
Hata Mimi nimejiuliza hilo swali, maybe alikuwa mdogo
 
Back
Top Bottom