central midfielder
Senior Member
- Apr 14, 2023
- 146
- 215
kwa sababu sifa nzuri ni za marehemuInakuwaje amekufa ndo unakuwa maarufu?
Kwanini sifa zisiwe mtu akiwa hai?kwa sababu sifa nzuri ni za marehemu
Nipeni dili masela nikamate mahela bonge la nyimbo🙌KAMA ANGEKUWA HAI, LEO ANGETIMIZA MIAKA 41. ALIZALIWA SIKU YA LEO.
Nipe top5 ya ngoma unazozikubali kutoka kwake. Hakuwahi kuwa na ngoma mbovu ile nipe 5 tu za moto.
Mimi hizi hapa.
1.Masikini Wenzangu.
2.Mikasi.
3.Tupo Juu.
4.Mapenzi gani.
5.Cnn.
Kafa ndio akawa maarufu? Ulikuwa na umri gani wakati A.K.A Mimi Album imesimamisha nchi? Ulikuwa wapi wakati Fid anarudia vesi. Ulikuwa wapi wakati Mikasi ni nation anthem?Inakuwaje amekufa ndo unakuwa maarufu?
Ile verse yake kwenye ngoma ya msela ndio verse yangu bora zaidi kutoka kwake.
hili gitaa kapiga yule Mzungu Kichaa(Espen Sørensen), hatari sanaView attachment 2815448 It's my ringtone!
Aiseee🙌🏻🔥🔥🔥hili gitaa kapiga yule Mzungu Kichaa(Espen Sørensen), hatari sana
Ngwea alikuwa maarufu Sana hata kabla ya kifo chakeInakuwaje amekufa ndo unakuwa maarufu?
Hata Mimi nimejiuliza hilo swali, maybe alikuwa mdogoKafa ndio akawa maarufu? Ulikuwa na umri gani wakati A.K.A Mimi Album imesimamisha nchi? Ulikuwa wapi wakati Fid anarudia vesi. Ulikuwa wapi wakati Mikasi ni nation anthem?
drums sogi, mzungu kichaa gitaa, bassline Ludigo, kuna mmoja nimemsahauAiseee🙌🏻🔥🔥🔥
Kaja na stori za vijiweni..huyu jamaa kasumbua sanadrums sogi, mzungu kichaa gitaa, bassline Ludigo, kuna mmoja nimemsa
aHata Mimi nimejiuliza hilo swali, maybe alikuwa mdogo
Itakuwa ulikuwa mtoto mbona alikuwa maarufu before hata ajafaInakuwaje amekufa ndo unakuwa maarufu?
Vibaya mnoooKina juma walikimbizwa,